okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,641
Habarini wadau,
Nina ndugu yangu mmoja ana malengo ya kutajirika kufikia levels za akina Manji, Mengi, Bakhressa etc ni mbahili kiasi cha kwamba amejibana mpaka kanunua used scania moja tu ya kubebea mizigo kwa Tsh. million 150, na bado anaendelea kujibana, yani Huyo jamaa kutoa Tsh.500 hivi kwa kweli ni mtihani...Je kwa approach hiyo ya ubahili, anaweza fikia malengo kweli?
Kuna uhusiano gani kati ya MTU kuwa bahili na kufanikiwa kifedha?