Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 27, 2012 #1 Jamani kwa anaefahamu anijuze tafadhali?
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Sep 27, 2012 #2 ingia kwenye website yao kuna tangazo la kiwango cha ada...naona ada zipo kawaida tu hakuna mabadiliko...
ingia kwenye website yao kuna tangazo la kiwango cha ada...naona ada zipo kawaida tu hakuna mabadiliko...
K KIDUNDULIMA JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 966 Reaction score 540 Sep 27, 2012 #3 ada hazijapanda ni zilezile za mwaka jana,juzi na majuzi
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 27, 2012 Thread starter #4 Asanteni jamani,maana kuna mtu kanirusha roho huku,ukizingatia mwenyewe niko kwenye category ya no Loan,nlitaka kudhirai!
Asanteni jamani,maana kuna mtu kanirusha roho huku,ukizingatia mwenyewe niko kwenye category ya no Loan,nlitaka kudhirai!