Hivi ni kweli ugojwa wa Chekelea Upo???

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,715
Reaction score
2,385
Hasa shule wa wasichana huwa kuna ugonjwa unaitwa Chekelea... wataalamu tunaomba mtujuze kama n kweli pia sababu zinazo sababisha ugojwa huu hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje

sent from kuzimu
 
Hasa shule wa wasichana huwa kuna ugonjwa unaitwa Chekelea... wataalamu tunaomba mtujuze kama n kweli pia sababu zinazo sababisha ugojwa huu hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaha ilo jina chekelea ndo nalisikia leo.

Ingawaje kweli ugonjwa upo, tena ni wa akili ambao ulikua unajulikana kama hysteria, waupatao huwa na dalili izo za kucheka cheka, wengne wanakua wanazimia zimia (conversional disorder). Zile stress za shule na kutokuwa na wanaume inadhaniwa ni chanzo cha ugonjwa huu na huwa unatabia ya kuambukiza.(unaweza kukuta kundi zima la wadada wanacheka cheka tuu [emoji3] [emoji3] )

Huwaga hizi shule za jinsia moja huandaa vitu kama ma disco, ma bonaza, au michezo mbali mbali baina ya jinsia nyingine, ili kupunguza stress na ule upweke unaodhaniwa ni chanzo cha ugonjwa huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…