Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku

Your browser is not able to display this video.


Wanawake kupendana buana
 
Mtazamo wangu Huo ni umalaya uliofunikwa kwenye kivuli cha ndoa...... kwamba atawaoa hata kumi hapo mradi uchumi unaruhusu!!!!!!! Shurti anavanya kubadilisha fleva...weupe...weusi...warefu...wafupi...wenye mwanya...wasionao....wakatq viuno....magogo.....nk nk nk

(Mnaoamini wake wengi kimila au kidini piteni kushoto.......)
 

Nawapite tuu kwa kweli
 
Tutaulizana maswali yote nijue sababu ila mwisho kabisa sitakubali🀣🀣🀣🀣🀣
Hahahahah nilitaka kudhibitisha tu kuwa wewe ni miongoni mwa 80% ya wanawake ambao watakaza hukumu hio isiwafike!

Jibu ni kuwa wanawake wengi hawapendi ukewenza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahahah nilitaka kudhibitisha tu kuwa wewe ni miongoni mwa 80% ya wanawake ambao watakaza hukumu hio isiwafike!

Jibu ni kuwa wanawake wengi hawapendi ukewenza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa mimi mwenyewe hanitoshi, sembuse wawili!?
Kwanza ntazua majukumu hadi nguvu za ndoa ya pili zimuishie
 
mama D tukianza nawewe unapendelea mrengo gani hasa? jamhuri/ serikali mojaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakika tumewaumbia wanadamu matamanio,kupenda wanawake,watoto,mirundi ya pesa na dhahabu...

Watoto wazuri wameumbwa kwa ajili yetu kwanini ujivunge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…