toto zuli
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 265
- 279
jamani mie ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ...flani cha serikali hapa dar...nasoma bachelor of science in computer science....ila mara kwa mara nikiwa na wenzangu tukiwa tunapiga stori na wenzangu...na watu wengi wananiambia eti watu wengi na wakuu wa idara ..na wajaariwa wengi...idara hizi ofisi karibia nyingi...wanaofanya kazi ni hizi hawakusoma vyuo...vya tanzania...
nilipowauliza kwanini.....wengi wananiambia vyuo vya bongo havitoi compitent graduate ...ambao katika soko la ajira hawakidhi viwango....
jee kuna ukweli....juu ya hili
nilipowauliza kwanini.....wengi wananiambia vyuo vya bongo havitoi compitent graduate ...ambao katika soko la ajira hawakidhi viwango....
jee kuna ukweli....juu ya hili