Hivi ni kweli wanawake wanaonyonya vidole huwapagawisha sana midume?

Tambara Bovu

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2007
Posts
585
Reaction score
141
Nasikia eti wanawake wanaopenda kunyonya vidole huwapagawisha wanaume wakikutana nao hadi wanaume wengine huamua kuwatongoza hata kama hawakupanga.
eti wanaume huzimika na unyonyaji wa hivyo vidole hadi akili zao zote kuamishia kwenye mapenzi.

mie huwa sipendi hawa wanawake wenye akili timamu kunyonya vidole,ila kama ni kweli wanaume wanadata,itabidi nami nijifunze ati....!

wapwa nisaidieni ili kama vipi nianze mazoezi mapema................!
 
Kweli kabisa hata mimi mama gaude wangu alikuwa ananyonya kidole hivo hivo
 
Inategemea, mimi binafsi napenda sana sanaa hiyo ya kunyonya vidole kwa mabinti!unyonyaji nao unatofautiana kati ya binti na binti!kuna unyonyaji ambao ukiuona tu unajua kabisa huyu atanifurahisha kwenye mapenzi na nitaenjoy!Isitoshe unapoona binti ananyonya kidole vizuri basi ina maana hata unapokuwa kwa sex, una uhakika propela yako itanyonywa kwa ufasaha na kwa skills za hali ya juu!!!
 
ha ha ha!
sasa wewe sasa dah
 
ina maana bado huko sokoni FL?
 
we funza dume mwanamke lazima awe sokono muda wote.unataka nisijifunze maujuzi niachwe?we nambie kama hiyo kitu ni nzuri niznze mazoezi
 
kwahiyo chezo waizimikia hiyo stye ati........?
 
wangua akipagawa huwa anachukua vidole vyangu na kuanza kuviingiza mdomoni kwake, anapenda sana huwa mchezo, analamba kama pipi vile
 

If you believe this nonsense then you do not deserve to be my FirstLady.......................................
 
Sasa ukisikia wanaume wanapenda kitu ingine utaanza mazoezi? haya bana hapa ni vidole tu kina vingine vikubwa.....:hippie::hippie:
 
If you believe this nonsense then you do not deserve to be my FirstLady.......................................

Hizo nonsense ndio zinazofanya mapenzi yanoge lazima ujitoe fahamu kidogo katika kuboresha mapenzi
 
Hizo nonsense ndio zinazofanya mapenzi yanoge lazima ujitoe fahamu kidogo katika kuboresha mapenzi

maty yaani nakuzimikia kwa comments zako zinazoonyesha kuwa unayajua mambo.Hongera dear. Wasalimie moro kasoro bahari
 
FL....una mkakati wa kumnasa nani??
 

Doh!!!!! Ni miujiza au ni wewe ngoja kwanza nika nawe uso nakuja kwanza "Aisee"
 

anza kunyonya fasta, mbona umechelewa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…