Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Kwani kwa mfano wewe unakula ugali/wali(chakula) sawa na mumeo?Habarini waungwana
Hivi ni kweli kuwa watoto wa kiume huwa wananyonya sana kuliko watoto wa kike?kama ni kweli naombeni sababu inayofanya iwe hivo.
Tuna usubiri huo!Nikweli, na ninaushuuda