Hivi ni kweli wayahudi wanaitawala dunia? Kweli ama si kweli toa sababu zako..

Hivi ni kweli wayahudi wanaitawala dunia? Kweli ama si kweli toa sababu zako..

Status
Not open for further replies.

Fantasia

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
1,071
Reaction score
832
Watu wengi Sana wanamfahamu Adolph Hitler kadri vyombo habari mashuhuri vinavyo mbainisha...., Kwa kifupi Adolph Hitler ndiye mtu anayechukiwa kuliko wote Duniani.

Katika utafiti wangu wengi wa watu Hawa Kama nilivyokuwa mimi zamani wanataarifa za Adolph Hitler kutoka upande wa Wayahudi....na propaganda ya myahudi ndio mashuhuri kuliko zote....kupitia Dini....Nilipofanya utafiti wangu binafsi Kama ilivyoada ya kanuni ya maumbile isemayo Kuna upande A na upande B.sarafu pande mbili...niliamua na miye kumchunguza Bwana Adolph Hitler Kwanza...

Kisha nikawachunguza Wayahudi....yaani Nika upitia mswaada wa kesi hii upya...niliyoyakuta yakinistaabisha na kunikisikitisha mno....changamoto kwa wachangia mada Kama ufahamu wako ni wa vyombo vya habari pekee hautoshi, kaa mbali sababu Myahudi ndio anaitawala dunia...

Tunataka hoja zilizotafitiwa na nilazima uwe umeupitia upande wa mshatakiwa pia Bwana Adolph Hitler na kufahamu msingi wake kwa uchache lazima uwe umekisoma kitabu chake Cha "Mein Kampf ama vita yangu" kwahivyo nakurudisha kwenye mada hivi Adolph Hitler alikuwa mtu Mbaya ama Wayahudi ndio tatizo la dunia?


Nawasilisha....
Mabibi na mabwana karibuni kilingeni...
 
wayahudi wanatawala , matajili wote 89 % duniani ni wayahudi benki zote za wayahudi , Hollywood cinema zote zao , 89 % magazeti zao tv news zao zaidi ya hapo ushatawala dunia
Ile vita angeishinda Hitler dunia ingekuwa nyingine na Bora zaidi kuliko hii ya sasa
 
Diagonal ya power ipo pembe tatu....at the top ya piramidi Judaism...chini kushoto kulia : uislamu na ukristo ambayo yote ni matengenezo ya myahudi kuitawala dunia...fimbo za myahudi...hizo vita , ugaidi.. globalization etc ni myahudi ndio ana ochestrate mazombie tunafuata nyuma
Kwa hivyo ukila kushoto unakutana na gaidi: kamba...ukiingia kulia unakutana na msalaba: waya...ukiingia Kati naam kingi kwenye kinywa Cha mamba...zamani katika historia yake myahudi alifahamu binadamu ni kichwa chake ukishakipata hicho amekwisha...na akagundua matumizi ya dini kama silaha....kubwa kuliko zote. Kwanza akaanza na project ya Musa, kisha part II akaja na Yesu....mwisho wazee wakiyahudi wakampanga kijana mmoja allitwa Muhammad Abdula...akatuletea Uislamu project yake ikawa imekamilika. Project ambayo imedumu miaka 3000 sasa, na sasa imefikia kikomo chake
 
Kwa hivyo ukila kushoto unakutana na gaidi: kamba...ukiingia kulia unakutana na msalaba: waya...ukiingia Kati naam kingi kwenye kinywa Cha mamba...zamani katika historia yake myahudi alifahamu binadamu ni kichwa chake ukishakipata hicho amekwisha...na akagundua matumizi ya dini kama silaha....kubwa kuliko zote. Kwanza akaanza na project ya Musa, kisha part II akaja na Yesu....mwisho wazee wakiyahudi wakampanga kijana mmoja allitwa Muhammad Abdula...akatuletea Uislamu project yake ikawa imekamilika
Alipomtengeneza Yesu kwa ajili ya mataifa Roman empire ikamkumbatia Bila kujua na kumsaidia myahudi to round up Europe which just pushed the drunkard to round up most of the world....Ulaya ikawamnyapara wa myahudi mpaka leo...aidha uislamu ulitengenezwa makusudi as a counter force...to balance the power but the three are the diagonal of death..and the only way is to walk out
 
Kwa hivyo ukila kushoto unakutana na gaidi: kamba...ukiingia kulia unakutana na msalaba: waya...ukiingia Kati naam kingi kwenye kinywa Cha mamba...zamani katika historia yake myahudi alifahamu binadamu ni kichwa chake ukishakipata hicho amekwisha...na akagundua matumizi ya dini kama silaha....kubwa kuliko zote. Kwanza akaanza na project ya Musa, kisha part II akaja na Yesu....mwisho wazee wakiyahudi wakampanga kijana mmoja allitwa Muhammad Abdula...akatuletea Uislamu project yake ikawa imekamilika
yaelekea wengine hamna kabisa hofu ya Mungu katika miyo yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom