Godbless mtega
Member
- Sep 15, 2018
- 41
- 24
B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahanini jaman naomba kuuliza nilishawahi kuambiwa watu wenye vipele mikononi vidogovidogo malanyingi huwa wanaukimwi .sasa. nimefika dar nikipanda kwwnye dala dala hua nawacheki naona n wengi ..hivi ni kweli?
Mimi nilikuwa nasoma dar primary ,hivyo natoka mbeya nakuja skuli dsm..samahanini jaman naomba kuuliza nilishawahi kuambiwa watu wenye vipele mikononi vidogovidogo malanyingi huwa wanaukimwi .sasa. nimefika dar nikipanda kwwnye dala dala hua nawacheki naona n wengi ..hivi ni kweli?