Hivi ni kweli wote wenye vipele vidogodogo wanaukimwi

Hapana mkuu,,ila labda utuambie vinafananaje isije ikawa ukurutu,au upele wa joto
samahanini jaman naomba kuuliza nilishawahi kuambiwa watu wenye vipele mikononi vidogovidogo malanyingi huwa wanaukimwi .sasa. nimefika dar nikipanda kwwnye dala dala hua nawacheki naona n wengi ..hivi ni kweli?
 
Halafu ujue mtu hawezi kukwambia jambo la kijinga ambalo haliendani na akili yako.

Hao waliokwambia waliona uwezo wa akili yako ndiyo maana wakakwambia hivyo.
 
samahanini jaman naomba kuuliza nilishawahi kuambiwa watu wenye vipele mikononi vidogovidogo malanyingi huwa wanaukimwi .sasa. nimefika dar nikipanda kwwnye dala dala hua nawacheki naona n wengi ..hivi ni kweli?
Mimi nilikuwa nasoma dar primary ,hivyo natoka mbeya nakuja skuli dsm..
Nikiwa mbeya ngozi yangu inakuwa poa tu ,ila kinija dsm natokwa na vipele hatare mikononi na mapajani , so nina ngoma.?

Ukimwi watambulika kwa kupimwa tu, huwa unajitokeza nje kwa dalili tofauti tofauti ambzo huezi zielewa..

Mwingine anapatwa na matatzo ya akili, mwingne mapunye, mwingne vipele(vyenye maji), mwingi midomo kubabuka, mwingine joti kali usiku hata kama kuna baridi, mwingine maumivu makali ya kichwa, mwingine hasira za bila sababu e.t.c

N.B
Kwa uelewa wangu wewe una vipele mikononi na unapemda kupiga mechi kavu hivyo unajishtukia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…