Hivi ni kweli Zitto Kabwe anauota urais wa Jamhuri ya Tanzania?

Hivi ni kweli Zitto Kabwe anauota urais wa Jamhuri ya Tanzania?

Mayombya Jr

Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
25
Reaction score
30
Habari wana JF,

Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo.

Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi.

Nilitegemea ndugu Zitto Kabwe, awaze kuwaza ni kwa namna gani ataweza kuunganisha upinzani wa nchii hii ili wawe kitu kimoja kwanza ndo awaze hayo maslahi yake binafsi.

Hivi ndugu Zitto Kabwe kwa mawazo yake, anafikiri ataweza kung'oa CCM madarakani bila upinzani kuunganisha nguvu na kudai katiba mpya na tume huru?
 
Anapambana kupata teuzi, naona Mabosi wake bado wamemchunia, au wameona hana msaada tena, au asali anayoilamba kupitia mlango wa nyuma ndio inayomlazimisha kila siku abwatuke.
 
Back
Top Bottom