M Morgan james Member Joined May 21, 2012 Posts 28 Reaction score 1 Dec 10, 2012 #1 Naitaji msaada wenu hivi kipindi cha kubalehe unakuta uume hauja kuwa vizuri na mtu kasha anza kupiga punyeto hvi kutokana na kufanya hivyo kunaweza sababisha uume usikue tena.
Naitaji msaada wenu hivi kipindi cha kubalehe unakuta uume hauja kuwa vizuri na mtu kasha anza kupiga punyeto hvi kutokana na kufanya hivyo kunaweza sababisha uume usikue tena.
Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,186 Reaction score 7,492 Dec 10, 2012 #2 kwani mwisho wa kukuwa hni unapolingana je?
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,520 Reaction score 766 Dec 10, 2012 #3 Jamii forum doctor inahusika