Hivi ni Lazima Kufanya?

super thinker

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
370
Reaction score
109
Ningependa kutulia na kijiheshimu mpaka kipindi naingia kwenye ndoa ndo nianze "Love making",sioni umuhimu wa kuwa na gf kwa sasa sababu kunakaribisha ufanyaji wa ngono coz sihitaji kiukweli na I know mahusiano mengi yanashikiliwa na NGONO. Sijali nitakayekutana naye mbeleni bt I will personally be happy to keep my self clean and free from sex to that time. Kuhusu kujua - haihitaji kwenda course au kupractice kabisaaaaaa kujua!!
Madhara yoyote kwa hili???????
Kuna Ubayaaaaaaaaaaa???????
 
wazo linajijia kwamba....wewe bado ni mtotototo....eti....?....bado hujakuwa si ndio....?
 
Wanasema eti hakuna ubaya ila dogo nibora ukifanyafanya walau mara mbili kwa mwaka. Huyo mke utaye muoa sijui.
 
We fanya bana!ujana mfupi kama lundo la utumbo,shauri yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…