Hivi ni Lazima Kufanya?

Hakuna ubaya kabisa, kwanza ni j ambo la heri. Tatizo ni kuweza kuvumilia tu. Kama utaweza nakununulia soda chupa kubwa

kwa kweli mi ni miongoni mwa watu wenye matatizo mengi lakini JF huniacha na tabasamu muda mwingi...
You hv made my day..thnx
 
aCHENI KUHARIBU POST ZA WATU JUST STICK KWENNYE MADA.
HALAFU SHAURINI KAMA GREAT THINKERS JAMANI NA MSOME KWA MAKINI MSOMAYO.
KAKA UMEAMUA FUNGU LILILOJEMA MUOMBE MUNGU AKUZIDISHIE NGUVU ZAKUJIEPUSHA NA SEX
 
we kama umeamua ku2lia shikilia msimamo wako na pia nakupongeza sana coz umechagua fungu jema.GOD blec u na akupe nguvu ya kusubiri
 
wazo linajijia kwamba....wewe bado ni mtotototo....eti....?....bado hujakuwa si ndio....?
Kwani wakubwa ndo wanafanyaga???na ukubwa ni upi???au ndo kufanya preta................!!!kwa hiyo hukukua mpaka ulipofanya????????!!
 
Kwani wakubwa ndo wanafanyaga???na ukubwa ni upi???au ndo kufanya preta................!!!kwa hiyo hukukua mpaka ulipofanya????????!!

he!!...ukifanya ndio unakuzwa harakaharaka....we shauri yako....usiseme sikukwambia.....
 
Super Thinker, I have been skipping your posts because I did not know you are that sensible. If this is the kind of material you write, I will always read.

However, for me,I would rather stay in ignorance. Once it is known, to pre-empty, may be because I was to discover anyway, or just to show that another man fancies her, or out of rage, or any other reason, I will call it quits and let the other man have her. Simple and amicable - she has rejected me and it is her choice. Even if I were to persuade her to stop the habit, we could be lying to each other. She will do it again, or I will have no respect for her, or she will forever live in guilt, which is unhealthy relationship
 
to be honest huwa sometimes natamani ningekuwa
kama zamani ambapo niliyatazama mambo haya kidini zaidi....lol

ukishakuwa mtu mzima na ukishajua the truth about sex na love na women if you are man....
its complicated......lol
 
hata kabla ya kuanza safari lazma uchunguze ka gari linaweza himili safari
 
to be honest huwa sometimes natamani ningekuwa
kama zamani ambapo niliyatazama mambo haya kidini zaidi....lol

ukishakuwa mtu mzima na ukishajua the truth about sex na love na women if you are man....
its complicated......lol
The boss kwa nn watamani kurudi nyuma???kwani ulipo sasa niaje mzee...............??
 



dogo unajua nini..........?

ukute huyo uliemtunzia hiyo bikira, yeye alifanya fanya sana haka ka mchezo huko nyuma.......

ngoma inogile hapo, hazichelewi kuwa mbio za kupokezana vijiti hapo......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…