Hivi ni Lazima Kufanya?


Hakuna ubaya wala madhara yoyote hasa kama wewe ni rijali. Ila utakapoanza na huyo wife wako kuna muda wa kuzoeana ambapo huwa kuna tatizo la "premature ejaculation" kwa lugha rahisi kuachia risasi kabla hamjafanya tendo la ndoa kwa muda utakaomridhisha wife. Yaani kwa wengine ile wanagusana tu na mamsap mashine inaachia risasi. Kuna extreme cases ambazo wengine wanaachia risasi mamsapu akichojoa tu nguo.

Sasa kama ukikutana na mke ambaye ameshaonja watu wanaojua kuzuia risasi mpaka wakati muafaka basi atakuwa kila siku analalamika humu facebook kuwa haridhishwi na mume. Ila usihofu haya mambo huwa ni ya muda mfupi baadaye utajuwa jinsi ya kudhibiti bunduki yako isiachie risasi kabla hujamlenga mnyama.
 
Dogo,
Anza kupractice mapema..mke utakayekuja kumuoa kuna jamaa anapractice naye now.
hiyo kali rejao,,,,,,haina maana kuto ku do wakat mwenzio ana do weeee(prapakatatumba),then unakuja kujisifia kuwa eti ulijitunza au sio rijali huyu?
 
Mhhh! Kaazi kweli kweli. Mwayego usifanye wanakudanganya! Kaa hivo hivo usibiri usisikilize maneno yao subiri wakati muafaka. Ukianza mapema utapitiliza uwe kitombi kwa kwenda mbele nyumba ndogo lukuki raha hakuna tena.....
 

Unafanya nini MMU? Acha kuwazuga watu, inaonyesha ulishamalizwa kabisa.
 
Ahsante sana TATA kwa mchango na ushauri wako ulio bora..........shukrani sana
 
Lazima utakuwa unaogopa wana wa kike......domo zege..........ila ni busara pia kama umeamua kutoka moyoni bila ya shinikizo kama hilo la woga.....maana usiwe ukawa unatafuta refuge kwenye kivuli hicho cha useja kwa kuwa watoto wa kike wakikukalia mbele magego yanagongana bila gavana!

 
Huyo mwanamke utakaemuoa laziama cku ya kwanza atoke chumbani nduki chupi mkononi ....... mi nikikaa wiki mbili 2 shuhuli!! je wewe may b ataoa kuanzia miaka 27!! hilo shuti utakalopiga litakua zito kama uji.
 
Acha atunze bikra yake ila mi sijui kama mwanamume kuwa na bikra ni sifa nasikia sifa kwa wanawake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…