mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Naomba mnijuze kuhusu hilo ?? :wave:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba mnijuze kuhusu hilo ?? :wave:
inategemea unakwenda kusoma kozi gani? , kama ni 1.engineering 2.law 3.medicine 4.accounting &finance 5.architecture ,ni lazima uwe nayo
Hakuna kozi ya ngazi ya Chuo kikuu utasoma bila laptop.....it doesnt matter ni Education,Sociology Performing Art etc..laptop ni lazima especially kwenye ishu ya vitabu...E- books zinapatikana kwa urahisi zaidi na ni cheap as you know library zetu hata vitabu hazina..inategemea unakwenda kusoma kozi gani? , kama ni 1.engineering 2.law 3.medicine 4.accounting &finance 5.architecture ,ni lazima uwe nayo
siyo lazima kabisa waliosoma zamani hawakuwa nazo walikuwa wakifaulu vizuri sana kwa sasa kimekuwa chanzo cha kufelisha wanafunzi mnapoteza muda mwingi kuangalia fb, jf, porn nknk na kusahau masomo kama una hiyo hela nenda kanunue vitabu usome na si kucopy na kupaste from internet mnalishwa sumu si kila material kwenye internet ni sahihi na hata kama ni sahihi bado hayatoshelezi