Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

Siku aliyopata kadi ww haikuhusu ila tambua kadi alikuwa nayo tayari na sasa ameamua kugombea ubunge jimbo la Kawe.
 
Gwajima hana muda wakusema kitu nyuma ya pazi. yeye kama kitu hakielewi anapasuatu
 
Wapinzani wanamuogopa saana Gwajima[emoji23][emoji23][emoji23]Gwajiboy tuvushe basi kawe
 
Tunachugua gwajima n mgombea ubunge kupitia CCM mambo ya kadi ya chama hayatuhusu sisi na tunakwenda na Gwajima kawee
 
Huyu Gwajiboy hana njaa kama walevi wengine wa chadema Sisi tunampa kura na tunamuamini
 
Hapo ulipo bado mtoto mdogo saaana subir ukue ndo uje kwenye uwanja wa mapambano
Sisi wakubwa ngoja tuende na gwaj boy
 

Hahahaha tuanze kwanza kujua uanachama wako una miaka mingapi..

isije kuwa tunadeal na mwanachama aliyejoin august 2020
 
Gwajima hana unafiki huwa anasema ukweli kakipenda chama kutokana na mabadiliko yaliyotokea awamu hii ambayo hata ingekuwaje bila mtu mahili tusingeyapata kweli Gwajima wewe ni mzalendo kawe inakuhitaji sana big up
 
Kwani ww kila unachokipenda huwa unawaambia watu?
Gwajima ni mjanja ww ana akili kama vile mchwa.
Ngoja aende Bungeni akalete mabadiliko kwenye jimbo la Kawe.
 
Kwa utaratibu wewe huna mamlaka ya kusema chochote kuhusu chama chetu pendwa cha CCM maana hata kadi huna[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…