Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Huyu ni ngosha na ndiyo sifa kubwa ya CCM ya sasaWale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
kwani mkewa wako ni mmoja wapo? na kama sio mmoja wapo acha maneno fanya kazi .Wake za watu, halafu anajirekodi nao kwa video.
Je na yule tuliompa miaka kumi ajatufanya chochote tutamuita na nani au yule mwingine ni tapeli mzoefuGwajima ni tapeli.
Watanzania waliowengi wamekuwa wakifungwa akili na watu wenyekupotosha mafanikio kwa maslahi yao ambapo kama mmoja wa nakala hi alivyofanya.. gwajima alipokemea uovu kwa manufaa ya watu wote wachache wenye manufaa yao binafsi wanachukulia kama fimbo kumchafua ila Gwajima anaweza kuwavusha wanyonge,walionewa,na kunyimwa haki zao.Gwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
Mbona kama umepanic broo huuu ni mwanzo tu tunaenda na GwajimaWale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Unamjua Mungu wewe?Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
alafu na wewe na mama ako aliyetupiga fix miaka kumi tunawaitaje.........? majangiliGwajima ni tapeli.
Gwajima hawezi kufanana na weweGwajima ni mdini na mbaguzi wa Kikabila sijui ccm waliweka sababu ya kabila lake au sababu anajua sana kutusi Wakatoliki, Waislam, Lutheran, Anglican, Morovia na AIC
Anaweza kuwa ni yule gwajima feki mliomtengenezaGwajima ni tapeli.
Swali umeelewa vizuri kweli au umejibu tuWake za watu, halafu anajirekodi nao kwa video.
Hahahajah kwani unatesekaHizo ni bakora za Mungu.... bado wiki chache tu utaskia mgombea wao anamwombea kura za ndiyo Lissu!!
Usituchoshe tuache na CCM yetu, tuache na Gwajima wetu sisi wanaKaweWale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Mimi nashindwa kuelewa kwann watu wanakubali kubaki na upuuzi kwenye akili zao. We all know how CCM was kabla Magufuli hajaingia madarakani, Hata mm nakuwa muwazi sikuwahi kuipenda lkn kwa mabadiliko aliyoleta Magufuli katika kipindi chake cha utawala kimeleta ushawishi mkubwa sana na hivi sasa watu wanaimani na CCM.Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.
Sisi na Gwajima na Gwajima na mabadiliko. Kawe mpya inakuja na sisi wananchi kura zetu zote tunampa Gwajima.Wale tusipoenda unafki na wakweli wa Mungu sikilizeni hii sauti. Gwajima hakuwahi kuipenda CCM na alipenda lini?
View attachment 1586576
Sisi wanaccm asili hatutaki watu wa aina hii. Hawa hawana mapenzi na chama kuna kitu wanatafuta. Hatuwezi kuwapa kura hawa.