Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

Mwovu anawezaje kukemea maovu? Gwajima amekuwa akihubiri chuki dhidi ya Waislam kanisani kwake mchana kweupe. Njaa inakufanya ukose hata akili ya kuchanganua mambo. Mimi silipwi kama wewe. Tena ukome kuni quote kiazi mbatata kitimoto mweusi wewe
 
Kwasababu anaona ambapo wewe huoni ningeweza kusema kwasababu ya akili yako ndogo ila isingependeza kulitumia mwenywe akili anangalia miaka 10 mbele na sio wiki moja
Una maanisha huyi Gwajima mzinzi anayehubiri chuki dhidi ya Waislam kanisani kwake huku wale misukuke wake wakishangilia ndiyo anaona mbali? Anaona mbali mbali kwenye k?
 
KWENYE SIASA HAKUNA ADUI AU RAFIKI WA KUDUMU, hua wanaangalia maslahi kwa upana wake
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…