Nimesikia wanasiasa wanasema kutekana na kupotea kulikwisha ila kumeanza kurudi tena, hivi ni lini yalikwisha?
Kwa kumbukumbu zangu kila baada ya muda tunasikia tukio la kupotea au kutekwa.
Au mpaka atekwe Lissu, Mdude, Mbowe au mtu yoyote maarufu ndio tujue matukio yanaendelea?