Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 915 Reaction score 1,082 Feb 21, 2023 #1 Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Feb 21, 2023 #2 We jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,582 Reaction score 26,053 Feb 22, 2023 #3 Hemedy jr Junior said: Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea? Click to expand... Kwa hyo nyie wanaume Leo mmekua jua na Simba wenye meno butu 🤨
Hemedy jr Junior said: Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea? Click to expand... Kwa hyo nyie wanaume Leo mmekua jua na Simba wenye meno butu 🤨