Hivi ni lini mwisho wa application za nacte wale wa diploma to bachelor? Na pia ni vyuo gani vina ku

wv1

Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Hivi ni lini mwisho wa application za nacte wale wa diploma to bachelor? Na pia ni vyuo gani vina kubali direct entry?
 
Duh deadline ni 18 july yaani nimepagawa hapa ila nahisi wataextend muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…