Jamani hili ni tatizo wale wa SAUT MWANZA waliopo field hawajapewa hela zao mpaka leo na next week field inaisha, sasa wanadhani watu wanaishije huko mikoani. Tanzania haitaendelea kamwe kwa mtindo huu I swear.

kiswahili ni lugha yetu lakin haielewek na na hawa wakuu wa nchi yetu!! lugha rahisi kwao kuelewa ni ya MGOMO tu!! ukitumia kiswahili utachoka sana na no body cares!!!! HAPA NI MGOMO TU..GOMENI MASELA!!!