hahahaha! Mgomvi wewe. Lol.Mi nadhani vyote kwa pamoja maana kila kimoja ni tofauti na mwenzie na kina umuhimu wake.Mi nadhani ni NINI au jibu la tatu kwenye kichwa cha habari!!!
hahahaha! Mgomvi wewe. Lol.Mi nadhani vyote kwa pamoja maana kila kimoja ni tofauti na mwenzie na kina umuhimu wake.
Hapo kwenye red......Money is not everything kama baadhi ya watu wamekuwa wakizitukuza.Jf,
Eti kwa utashi wako, we unadhani ni nini kinaendesha dunia??
mapenziii?? hela??, siasa?? au ni nini??
Kiukweli kwa utashi wangu me naona ni hela.
generally kwa sababau hela inaingilia uchumu, siasa, dini, na mapenzi yenyewe.
Ebu leteni mawazo hapa.
Kweli hap hakuna great thinker!!me wala sijamwelewa.sijui hajelewa swali sijui "NI NINI" ndo jibu lake! teh teh.kweli hapa kuna great thinkers.
power and moneyJf, Eti kwa utashi wako, we unadhani ni nini kinaendesha dunia??mapenziii?? hela??, siasa?? au ni nini??Kiukweli kwa utashi wangu me naona ni hela.generally kwa sababau hela inaingilia uchumu, siasa, dini, na mapenzi yenyewe.Ebu leteni mawazo hapa.
Mi nadhani ni NINI au jibu la tatu kwenye kichwa cha habari!!!