Hivi ni mimi pekee ninaepata changamoto na customer care ya CRDB bank?

Joined
Nov 5, 2025
Posts
89
Reaction score
165
Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police.

Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida sana hii.

Tafadhari mnaweza nisaidie, ni bank ipi nzuri kwa customer care na hudauma za kifedha kwa ujumala eg transfer ndani na nje ya nchi. Nitashukuru sana.
 
Bank zote izo Mkuu, kwanini ukose Raha na bank Moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…