Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Moja Kwa moja, mimi sio mwanaharakati na sitaki kujihusisha.
Pamoja na hayo nikipata nafasi ya kuwasikiliza Hawa jamaa ni kama hawana mwelekeo wala mpango wowote.
Ukiwasikiliza sana utasikia vijembe na matusi pekee dhidi ya serikali na viongozi waliopo madarakani.
Sina nia mbaya Wala sitetei kwamba walioko madarakani wanafanya mazuri, No. Kuna muda wanapatia kuna mambo wanazingua.
Nilitarajia washika madarakan watarajiwa wakawa wanakuja na loyalty kwa wananchi wakipewa Nchi, mfano;
Hivi sasa watu wanahangaika ajira, sisi CHADEMA au ACT au CUF tuchagueni tukiingia madarakani ajira zitatolewa Kwa asilimia 95 tofauti na sasa asilimia 5 pekee, Issue ya afya, tutatoa bima bure Kwa wazee na watoto.
Tutaweka kikokotoo kizuri labda mtu akistafu atachukua michango yake asilimia 85 tofauti na sasa asilimia 20 pekee. N.k n.k
Yapo mambo mengi ambayo yanapaswa yazungumzwe iwapo chama x kitashika madaraka na sio ujinga unaoendelea.
Hivi Hawa watu akili zipo wapi ndo maana wanagongwa virungu Kila siku.
Wananchi tunataka kusikia tukiwapa Dora mtafufanyia nini na si haya mnayoyafanya hivi sasa.
Badilikeni aisee tunataka kumuona Tundu Lissu ikulu siku moja.
Angalau Lowassa alipogombea alikua anazungumza nini atafanya side yake ikiwa atapewa madaraka lkn sema ndo hivo mzee wangu Magu alimzidi kete katika kunadi sera but alileta competition kubwa.
Think positive.