Ni kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet.
Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata.
Najiuliza hili tatizo ni kwangu tu au na Kwa wengine mnaotumia voda mna changamoto hiyo?