Kwako wewe tu,halafu ndani ya miezi mitatu naona speed imeongezeka balaa kuliko kawaidaNi kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet.
Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata.
Najiuliza hili tatizo ni kwangu tu au na Kwa wengine mnaotumia voda mna changamoto hiyo?
Itabidi nichunguze shida ni nini. Au laini imekuwa ya zamani sana? SijuiKwako wewe tu,halafu ndani ya miezi mitatu naona speed imeongezeka balaa kuliko kawaida
Aah, erm maybe................Itabidi nichunguze shida ni nini. Au laini imekuwa ya zamani sana? Sijui