Hivi ni mimi tu au na wengine yanawatokea haya?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Pole na kazi wana j.f mi mwenzenu cjui niseme ni mawenge yangu au maluweluwe au ndo uchizi au ni msongo wa mawazo..twende kwenye uzi!!hv inakuwaje mtu unapita sehemu ambaya hujulikani kabisa tena mbali huko mara ghafla unasikia sauti ya mtu anakuita twmena jina lako kabisa mara unageuka utizame nani kakuita vizuri hivyo humwoni hv wakuu hua ni nini hapo!!!naombeni maushauri yenu!!!
 
Dah.... Hapa jani linahusika 100% [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…