Ha ha ha ha nmecheka xn
Aiseee mm sitaki anitemee mimate yake aisee
Mm napenda nikae siti moja na demu mzur alafu awe mcheshi
Tuwe tunapga stor za hapa na pale
Nakumbuka safar ya wiki iliyo pita from Masasi had Dar niliona kama natokea manzese nashukia ubungo vile
Yan demu mzur alafu bila kusita alinidondoshea whatsapp namba
Had leo nachat nae
Yategemeana kama mnaendana, unaweza ukawa naye siti moja ila kila mmoja akawa na mambo yake au mawazo yake halafu hata story mkapishana, wewe uko kimaisha yeye yuko kistarehe zaidi. Ila ukimpata ambaye mko sawa hapo safari inanoga