Hivi ni Mimi tu? Na kwa hivi itakuwaje?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje Wanajukwaa

Mimi Fene ni jamii ya watu fulani wakimya kidogo kwa wasionifamu (wenyew wanadai hivyo) japo mwenyew naona nipo normal tu

Ssa Kuna baadhi ya traits nilizo nazo, mwenyew sometimes nikichukua muda kuzitafakari kidog zinanistaajabisha kdg na ni natural sio kusema kwamba labda nafanya kwa makusudi niwe hivyo kwakuwa JamiiForums ni mtandao wa magreat thinkers (huu ni ukweli anaebisha na abishe tu)
na ma professional mbalimbali
Ngoja nishee nao naweza pata kitu na labda sipo peke yangu

1.Nikifika sehemu ngeni nakuwa mtua mkimya sana na kama nisiejua mambo
Yani hii hutokea hata pale napotoka town nikifika labda kijijini
Ajabu yake muda ukipita nageuka na kuwa extreme extrovert for few people wanaonijua
Hii hupelekea sometimes huwa wananiambia ujanja wenyewe umeupatia juzi ulikuwa mshambamshamba tu dah! bas nabak kucheka mwenyew tu, yani mtot wa kijijini ananiambia mim nlkuwa mshamba
Huo ni mfano tu

2.Napenda sana kuzisoma na kucheza na akili za watu
Kama nilivyowaambia sifanyi hivi labda nipo ktk mission yani ipo naturally
Katika kukamilisha hili natumia maneno na vitendo
Sometimes natumia devil words mtu akianza kufunguka mpaka najihis kujuta
Mfano juzi kati Kuna mzee akawa ananifungukia "Mjomba mi mbona naweza kutengeneza jini, mbona majini sio wabaya" kumbuka huyo mzee sio mganga
Dah! Nikachoka

3.I don't like attachment
Napendelea sana ushkaji lkn napendelea kukutana kwenye madili, trip labda tumeipanga, kwenda kwenye sherehe, misiba na kugumiana mtaan kupena hi bas inatosha
Lakin mtu akiwa tena kutwa kupigiana pigiana simu mara twende kule mara kule kwa kweli nachoka na chapu tu najiondoa ktk cycle

4.I don't believe in case of love
Hii ndio sababu kubwa ilinisukuma zaid nifungue huu uzi, siamini katika mapenzi
Mtoto mkali akiniambia I love you Kuna sauti kubwa naisikia kichwani kwangu ikisema huo ni uwongo, nitmwambia I love you too aridhike
Lakini mi siamini katika kupendwa
Mtot mkali akiwa anajibebisha kwangu huwa namu observe na kuvuta tafakari mbalimbali kichwani kwangu huku jibu likiwa ni No hunipendi wala nini upo tu unacreate drama zako tu hapa

Sasa finally nimeamua nioe ni bint around 19 hiv but I don't like attachment I don't believe in the case of love.
But all in all I am good responsible man
In all aspects
Nini kitatokea na character yangu hii huko ndoani

Nb/ Mim ni muislam ndoa kwangu sio kifungo cha maisha naweza exit mambo yakiwa si mambo (Allah ataepusha hilo)
Namuomba Allah ikawe ya kheri
 
Nafikiri hayo ni Kati ya yale Machache Uliyobarikiwa,, Huna Budi ku'ukubali huo ukweli,,Huna Budi Ku'uishi na itakuwa ni bora zaidi kushuruku na ku'ufurahia huo Ubarikio Kwa Mungu wako Unaemuishi,,Kumkiri,,Kumuabudu na Kumuamini pia.
 
Kama unapenda sherehe na Unaweza kupiga story na Strangers. Tumekutoa wewe sio introvert.. Hiyo ni afya ya akili au Umezubaa tuseme

Introverts Ujanja wetu ni JF Tuu.
 
Sijawahi kuwaogopa hao Moderator mnaowaabudu na wala sitakuja kuwaogopa,wapige life ban hata sasa hivi,JF sio Baba yangu wala Mama yangu.
Nilikuwa natania mkuu
Niliona umepigwa ban nikahisi kosa litakuwa ni tusi

Binafsi hakuna mtu nayemuabudu
 
Nilikuwa natania mkuu
Niliona umepigwa ban nikahisi kosa litakuwa ni tusi

Binafsi hakuna mtu nayemuabudu
Najua kua ulikua unatania ila nimejibu kwa hasira kwa hao mods,

Sina tatizo na wewe,u have my respect.
 


UMEKOSA KAZI TU KUJA KUANDIKA VITU VYA KIPUUZI. WENYE HIZO TABIA HAWANA MUDA WA KUZIJADILI. WANASEMWA NA WATU WENGINE SIO WENYEWE. NENDA SHULE AU BADO HAMJAFUNGUA?
 


NI AFYA YA AKILI TU NDO TATIZO. PIA UPO IDLE SANA NA UNATAKA ATTENTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…