Maringo saba πππππ
No deal for today...π
ππ
πππNamuona..likes Kama zote...depal nakusalimu tu mimi
ππππMaringo saba ππ
Na wewe upon uswahilini mkuu?Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.
Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'
Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?
Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
Nim-Cc au nimuache? πππππππ
Msalimie yule kule..yuleeee
Msalimie tu..hata usim-cc..ππNim-Cc au nimuache? πππππ
ZimefikaMsalimie tu..hata usim-cc..ππ
Haha jamani sasa hapo hasira iko wapi?
ππππ
Akikujibu niTagHaha jamani sasa hapo hasira iko wapi?
Oh! Nimeshajua ni wapi π...this time nitajifunza kupuuzia.
Nakuchekea ππππ
Wamekuvuruga Depal wangu..ungeniTag tuliamshe dudeππ.Oh! Nimeshajua ni wapi π...this time nitajifunza kupuuzia.