Hivi ni mimi tu sipendi kutumia Ofisi za Serikali?

Nilimpigia mwenyewe mkurugenzi nika muwakia vibaya na yeye akaenda malizana na muhasibu wake na mkataba ukaishia hapo wa kusambaza bidhaa kwao
 
W
Watumishi wa serikali ni kakindi kawatu WASIOJIELEWA Na hii ni kwasababu
1. Hawapimwi performance zao
2. Hawana targets
3Ni watafuta mikate tu wasio na malengo yyte yale.
WANAITANA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…