Hivi ni mimi tu sipendi kutumia Ofisi za Serikali?

Ww upo kama mm tu.
 
W

Watumishi wa serikali ni kakindi kawatu WASIOJIELEWA Na hii ni kwasababu
1. Hawapimwi performance zao
2. Hawana targets
3Ni watafuta mikate tu wasio na malengo yyte yale.
WANAITANA MKUU
Kabisa
 
Nilienda TAZARA kutuma mzigo na nilikuwa na haraka kweli, mhudumu ananisikiliza huku anachat halafu anapoteza muda bila sababu ilibidi nimfokeee mbaya alikuwa mtu mzima mwanaume aliniangalia ndio nimeshakasirika
 
NIDA inalalamikiwa nchi nzima,,wafanyakazi wote wa NIDA wanafanana mambo yao em ngoja niulize kwani NIDA ikifutwa hatuwezi kuishi??
 
Nachojua Shida Ya Hospitali za serikali ni kukaa bench. Ila kama mpaka umeingia kwa Dr. Wanakuangali hivo.

Kuna kitu hakiko sawa
 
Tz tunachukuliana poa sana ,mtu analingia office ya umma au public asset si kichaa uyo,
 
Nachojua Shida Ya Hospitali za serikali ni kukaa bench. Ila kama mpaka umeingia kwa Dr. Wanakuangali hivo.

Kuna kitu hakiko sawa
Nilijawa na hasira then ili kuwa dharula af kila nako enda nazungushwa dr ndio mwenye maamuzi ya mwisho niliwatukn
 
Leo nimepiga simu admission ofisi ya INSTITUTE OF SOCIAL WORK DAR aisee Yule mdada anaongea Kwa nyodo sijapata kuona mwisho kanikatia simu na hajasolve shida yangu.Siwez tena kumpeleka kijana wangu pale.
Pole duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…