Hivi ni mimi tu sipendi kutumia Ofisi za Serikali?

Yaani Aghakan wamkimbize mgonjwa Mwananyamala?
Hii inakuja akilini kweli?
Kwenye level aga khan iko juu ya mwananyamala.

Wao watapeleka muhimbili, au JKCI(kwenye inshu za moyo) , au MOI(mifupa na nerves)
 
Hii ni mmojawapo ya sababu za kufeli Kwa taasisi nyingi za kiserikali, uwajibikaji hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…