Harald Dad
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 353
- 263
Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya lugha ya Kiswahili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiiii ...bhaabhaa yeeee!😂😂😂Geita, Shinyanga na Mara
Wanaongea kama wanauliza na kushangaa kwa wakati mmoja [emoji23]Kiswahili asili yake ni Pwani.
Lafudhi nzuri utazipata Tanga kwa wadigo.
Heri hata wenyeji wa Tabora mjini(sijasema Wanyamwezi wote)!Wanaongea kama wanauliza na kushangaa kwa wakati mmoja [emoji23]
Hao ni waharibifu wa Kiswahili.Unguja na Pemba...