Harald Dad
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 353
- 263
Hiiii ...bhaabhaa yeeee!πππGeita, Shinyanga na Mara
Wanaongea kama wanauliza na kushangaa kwa wakati mmoja [emoji23]Kiswahili asili yake ni Pwani.
Lafudhi nzuri utazipata Tanga kwa wadigo.
Heri hata wenyeji wa Tabora mjini(sijasema Wanyamwezi wote)!Wanaongea kama wanauliza na kushangaa kwa wakati mmoja [emoji23]
Hao ni waharibifu wa Kiswahili.Unguja na Pemba...