Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ufafanuzi hivi huyu mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote kwa maana ya jeshi la police, jeshi la magereza au ni mkuu wa jeshi la wananchi Tanzania
A. K. A Amiri Jeshi Mkuu.Elewa kirefu cha JWTZ na CDF,yy anahusika na JWTZ tu,mkuu wa majeshi yote ni Raisi wa nchi
Majeshi yote ulinzi na usalama
Good explanationMajeshi ya Ulinzi tu ndo yanamhusu (Kamandi ya Anga, Majini, Nchi kavu, JKT, Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi).
Vyombo vya usalama haviko chini yake ndio maana vina wakuu wake;
Polisi-IGP
TISS-DG
Magereza - CGP
Fire -CGF
Immigration- CGI
Ukirudi kwenye itifaki ya kijeshi JWTZ ndio jeshi senior.
Boss wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais (Amiri Jeshi)
Jeshi la kujenga taifa ndiyo ninalolijua. Hayo majeshi unajumuisha na m23 nje ya mipaka?Naomba ufafanuzi hivi huyu mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote kwa maana ya jeshi la police, jeshi la magereza au ni mkuu wa jeshi la wananchi Tanzania
Excellent!Majeshi ya Ulinzi tu ndo yanamhusu (Kamandi ya Anga, Majini, Nchi kavu, JKT, Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi).
Vyombo vya usalama haviko chini yake ndio maana vina wakuu wake;
Polisi-IGP
TISS-DG
Magereza - CGP
Fire -CGF
Immigration- CGI
Ukirudi kwenye itifaki ya kijeshi JWTZ ndio jeshi senior.
Boss wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais (Amiri Jeshi)