Hivi ni muda gani ndiyo muafaka kwa....?

Mimi ni wakati wowote tu nikijisia namwambia mwenzagu na libeneke linaendelea kama kawa. Lakini kuna wataalam wanasema upo muda wake muafaka. Wengine mnasemaje?

Asubuhi kabla hujakwenda kazini:sick: :sick:
 
Muda mnapokuwa na faragha na kila mmoja wenu anahitaji.
 
:A S 20:Asubuhi ndg! Pale unapata kitu roho inapenda,kisha huyooooooooooooo kazini, hapo mchana unapita safiiiiiiiiiiiiiiiiiii:A S 20:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…