Ni MWai Kibaki aliye ahidi kutenda shughuli za uhalifu mbele ya jaji mkuu na washirika wake wote, lakini kikubwa zaidi mbele ya dunia nzima kwani hata sisi huku vijijini tumemuona akisema hivo kwamba atatenda uhalifu!
Ila kwa vile kaahidi kutenda uhalifu hata ukimuita Mwai Kibaka ni sawa