Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Nimeanzisha uzi huu kwa maslahi yangu binafsi.

Kama ulishawahi kuanzishwa mfano wa uzi huu,mnaweza kunitupia huko kunako husika nikajionee mwenyewe.

Narudia tena nimeanzisha uzi huu kwa maslahi yangu binafsi.
 
Naona unataka uandae hitlist
My guess would be this lady right here Mzigua90
Umejuaje bro,ili nijiandae hata kama nikiingia niwe nina silaha za kutosha.

Maana kabla ya kupambana na adui lazima umsome vyema kisha uandae nguvu kama alizonazo huyo adui au zaidi yake.

Maana lengo la mapambano ni kushinda wala si kushindwa.
 
Back
Top Bottom