Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Moja nishachat nae hapo juu mkuu
Kaka wee....~Sky Eclat
~Mzigua90
~na huyu Madame anayejisikia,msomi mchakarikaji,Presenter na Mwandishi...
aliyezaliwa Mo Town...mwenye asili ya Ufugaji,pingu za maisha na nshomile.. ~The iron Batterifly
Hahaha, hakuna lolote Mkuu ,utani wa jadi tuSawa, naona ushatengeneza mazingira ya kampani weekend hii.
Hahaha, hakuna lolote Mkuu ,utani wa jadi tu
We km Mimi kumbe ,hutaki kujichosha ,nimemtaja huyo baada ya kuona anamwagiwa sifa KEDE KEDE 😀 😀Mimi nasoma mchezo hapa, atakayetajwa na wengi ndo na mimi nakuwa nimemtaja.
We km Mimi kumbe ,hutaki kujichosha ,nimemtaja huyo baada ya kuona anamwagiwa sifa KEDE KEDE 😀😀
Unasubiri mshindi sioMpaka sasa timu yangu iko namba moja au mbili, mchuano ni mkali sana.
Pm kumefungwa hayo matumizi ntayatuma kwa njia gani baeKipenzi cha Mimi week inaisha hujatuma matumizi
Uongo.. Sijafunga bwana.Pm kumefungwa hayo matumizi ntayatuma kwa njia gani bae
Sasa mbona nikijaribu kuzama kumefungwa?! 😳😳😳Uongo.. Sijafunga bwana.
Unasubiri mshindi sio
Sio kweli nakwambiaSasa mbona nikijaribu kuzama kumefungwa?! [emoji15][emoji15][emoji15]
Nakuelewa MkuuNdiyo mkuu, maana penye wengi hapakosi neema.
Nakuelewa Mkuu
Subra huvuta kheriShukrani mkuu, ngoja tuvute muda.
Anacheza na beat?mzigua 90 nahisi ndio anayependwa sana kwa sasa,, sababu kubwa anajua kusoma alama za nyakati
HahahaAnajua mapigo vzuri,
Au nimekosea mkuu?