Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Hahahaaaaa. Ahsante

Jamaani ingekuwa Hongo ya mwaka manake Mwanza yote kuwa chini yangu duuh kweli ingekuwa ni jambo kubwa lol.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wala sio ajabu mbona Hajar kuna waliopewa Wilaya ujueπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…