Ok Ok
Nielekeze bro,nataka nianze kupanda mbegu ya upendo/penzi kwa mwana fulani taratiiibu nivune mawada !Hii thread ni yetu kutamka wanawake tunaowapenda, kwa hiyo ninyi subirini yenu.
Uyo asiyejua kutag mwache abaki hivyo hivyo.
sasa Don Clericuzio wewe mbona hutaji? acha roho mbaya mfundishe mwanaume mwenzio, madon hawanaga roho hizo.
Inaonekana wewe unapendwa sana.Ole wao wale ninaokesha nao kule Pm niwaone wakiwapenda wanawake wengine hapa jukwaani wakati kule wanasema wananipenda mimi.
Niko nawangoja hapa
Ngoja na mimi nianze kukupenda.Ole wao wale ninaokesha nao kule Pm niwaone wakiwapenda wanawake wengine hapa jukwaani wakati kule wanasema wananipenda mimi.
Niko nawangoja hapa
Mtoa mada anatafuta zizi ujue[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hajar anapendwa sana kwa busara zake best of the best