Nimeanzisha uzi huu kwa maslahi yangu binafsi.
Kama ulishawahi kuanzishwa mfano wa uzi huu,mnaweza kunitupia huko kunako husika nikajionee mwenyewe.
Narudia tena nimeanzisha uzi huu kwa maslahi yangu binafsi.
Huko Pm ni balaa na ndio maana nawasubiri hapaInaonekana wewe unapendwa sana.
Utapenda wangapi?Ngoja na mimi nianze kukupenda.
Lazima waje subiri jioni
Ndo nawasubiriLazima waje subiri jioni
Unatongozwa sana eeeh??Ndo nawasubiri
Maana kule Pm ni kero.
Yaani shoga acha tu.Unatongozwa sana eeeh??
Halafu usisahau pia.Unaweza kupendwa sana na watu wengi.
Pia inawezekana ukapendwa sana na mtu mmoja tu.
Sijui mleta mada uko upande upi?
Watakuja subirMnaanza jitokeza.
Safi...waite na wengine
Nakupenda wew beingsingle[emoji30][emoji30][emoji30]
Asante ila avatar yako inanitisha.Watakuja subir
Madame ntakuepo kwenye biriani Cc Hornetsasa Don Clericuzio wewe mbona hutaji? acha roho mbaya mfundishe mwanaume mwenzio, madon hawanaga roho hizo.
Bora awe shoga unaeza mla. Mwanaume mwenzio kabisa unakutaMambo ya mitandao uwongo mtupu unaweza kuta unamshobokea shoga unadhani demu