Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Mi nampendea uchizi wake tu. Ni kati ya watu wanaonikosha sana humu ndani wakiandika
Thank you so much my love jamani.
Me too nawapenda mamie sweets zangu.
Hahahhha
Mzigua90 ile ishu ikitiki.....utaniona na kupiga story mpaka tuchoke wenyewe
 
Hunishindi mimi... Siku nikipata ufree ntamshtua tupige storee mbili tatu!

Yaan nina hamu ya kuonana nae sana ( kwa mara ya kwanza Wit mimi kutamani kukutana na mtu humu![emoji15] )

Madam B
Hahahah
Msijali wadogo zangu.
Mie niko poa tu...
Siku hiyo tutakaa tutapiga story mpaka asubuhi itukutie nje.
Hahahhahahahah.....
Asanteni wapendwa wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…