Ahsante sana ndugu yangu. ππππNamkubalii sana Sister Hajar ana busara sana"
πππhajar
πππππ mie pia najuaga ni Ke.Kumbe mtoa mada ni mwanaume duh mie nilidhan ni shosti,akhu amkome hajar wetu[emoji23][emoji23]
πππππ mie pia najuaga ni Ke.
Ahsante sana rafiki wa mie. Tubarikiwe siku zote. πππ
Furaha ya mapenzi hiinivune mawada !
Kama malkia wa nyuki vile, lile dume litakalofanikiwa kuruka juu sana mpaka kumfikia malkia ndio linakula tamtam ya malkia wa nyuki,lakini baada ya hapo na dume linakufa!Yaani shoga acha tu.
Sijui nikupe password yangu kwa muda ukachungulie.
Yaani wengine mpaka siamini.
Jukwaani wako kimyaaaa....ila pm tunavyokimbizana sasa, kama paka na panya
Maslahi bibafsi huwa siri mzee.Una maslahi gani?
Nitawapenda wengi mno,ila nitakae muhitaji mmoja tu.Huko Pm ni balaa na ndio maana nawasubiri hapa
Utapenda wangapi?
Nitawapenda wengi mno,ila nitakae muhitaji ni mmoja tu.Huko Pm ni balaa na ndio maana nawasubiri hapa
Utapenda wangapi?
Hapa msingi idadi bro,ili nipate pakutokea.Unaweza kupendwa sana na watu wengi.
Pia inawezekana ukapendwa sana na mtu mmoja tu.
Sijui mleta mada uko upande upi?
Utabiri wangu siku zote upo sahihi kwa sababu nimefanya utafiti kwa zaid ya miaka minne katika hiliπππππ
ππππππ
Hisia kitu cha ajabu sana aisee,mimi mwenyewe kuna mwanamke/mrembo mmoja humu nampenda ajabu. Nikimtaja huwezi kuamini kabisa.Yaani shoga acha tu.
Sijui nikupe password yangu kwa muda ukachungulie.
Yaani wengine mpaka siamini.
Jukwaani wako kimyaaaa....ila pm tunavyokimbizana sasa, kama paka na panya
Ahsante sana. Ila Sesten umemwelewa mleta uzi. ππππUtabiri wangu siku zote upo sahihi kwa sababu nimefanya utafiti kwa zaid ya miaka minne katika hili
Sijawahi kua na shaka kua Hajar utaibuka kua kinara wakishindanishwa wapendwao zaidi katika mabanati humu ndani
Kwa ufupi unayo kura yangu mamii