Vizuri...!Hahahaa. Naona unaisemea akili yangu duuh.
Itakuwa hivyo basi.
Si mpaka upende mwenyewe sasa HajarNimekimbia hapo kwenye kutunukia watu hapo Sesten.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu vpπ³π³π³
Natamani uninong'oneze ulivokua umeelewa weye hapo HajarOooh. Ujue kiswahili hakijawahi kuwa kirahisi nimegundua nilichokielewa mie na wewe ilikuwa tofauti.
Haya bana Sesten.
Wacha Weeeeeeeeeee.Cc Hajar, demis, amu, mzigua, shunie, Evelyn nawapenda kama navyolipenda dushe langu
Asante mwayaNitawapenda wengi mno,ila nitakae muhitaji ni mmoja tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] best navyokuhusudu haujui tuWacha Weeeeeeeeeee.
Hii best tunaiita kubwa kuliko.
Mtaje sasaHisia kitu cha ajabu sana aisee,mimi mwenyewe kuna mwanamke/mrembo mmoja humu nampenda ajabu. Nikimtaja huwezi kuamini kabisa.
Karibuππππ najua wapi pa kukupata ngoja nije.
NakaziaMtaje sasa
Ahsante aisee best. ππππ[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] best navyokuhusudu haujui tu
Ushaanza mtani[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi tunacheza lini aiseee?
ππππ