Hivi ni mwanasiasa Gani alikuwa na Kingereza kizuri Kama B. Mkapa

Ni utumwa kufikiri na kuongea kwa lugha ya kigeni..

Ila shida ya lugha yetu ya kiswahili ina pelea sana ukilinganisha na kiingereza
Lugha yetu bado changa!
 
Lugha ya Kiingereza ni chombo cha mawasiliano tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…