AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Huyu jamaa nakumbuka sana jinsi alivyokuja kwa kasi sana na hit songs zake kama Silali, Marry me, Follow me, Roho yangu.
Hadi nakumbuka kuna interview moja msanii Diamond aliwahi kukiri kuwa Rich Mavoko ndiye msanii peke anayemuhofia sababu ya kipindi hicho huyu jamaa nyimbo zake zilikuwa zinabamba sana.
Ila kwa sasa huyu jamaa simuelewi kabisa hasa huu ukimya wake wa muda mrefu, tangu mwezi wa 2 yeye anasema coming soon mpaka tumechoka, hivi sasa hata nimejaribu kumfatilia insta sijaona kipya zaidi ya kupost habari za Magufuli tu!
Sasa je, ndio kusema wenzake wanamroga hadi asijitambue?